Orodha ya Mifumo ya Biashara

Product Image

VIKOBA-FAIDA APP

POS Control No. Alerts Reports
11 Jan, 2026 Verified
Angalia Mfumo
Product Image

Earn Money with Us!

POS Control No. Alerts Reports
18 Aug, 2025 Verified
Angalia Mfumo
Product Image

STOCK&INVENTORY SOFTWARE

POS Control No. Alerts Reports
20 May, 2025 Verified
Angalia Mfumo

Mfumo Unaojiongoza (Business Automation)

Mfumo wetu sio tu wa kuuzia, ni msaidizi wa akili (AI Assistant) anayesimamia biashara yako masaa 24.

Mfumo bora wa kusimamamia Mauzo kwa wajasiria mali wakubwa na wadogo

Ni Mfumo bora, Rahisi na wa kisasa zaidi.

Ripoti & Business Tips

  • Daily Sales Report: Mfumo unakutumia ripoti kamili ya siku kupitia Email/SMS kila siku jioni kiotomatiki.
  • AI Business Tips: Pata ushauri wa kibiashara na mbinu za kuongeza faida kulingana na mauzo yako.
  • Stock Trend Analysis: Tambua bidhaa zinazopendwa na wateja zaidi.

Financials & Payments

  • Control Number: Tengeneza na kutoa Control Number kwa wateja kwa malipo ya haraka na salama.
  • Track Control Number: Fuatilia hali ya malipo (Paid/Pending) ya namba hizo kwa wakati mmoja.
  • Automatic Payout: Usimamizi wa malipo ya wasambazaji (Suppliers) na Payroll za wafanyakazi.

Madeni & Messages

  • Auto Debt Reminder: Mfumo unamtumia mteja ujumbe wa SMS/Email kumkumbusha deni lake AUTOMATICALLY.
  • Debt Tracking: Fuatilia kila mteja anayedaiwa na weka viwango vya juu vya mkopo.
  • Theft Detection: CCTV integration na alerts za shughuli yoyote ya kutiliwa shaka dukani.
Sifa Zingine Muhimu:

Barcode & QR code stock management using phones.

AI-powered customer counting and visit analysis.

Instant invoicing, receipts, and PDF generation.

User role access (Admin, Seller, Pharmacist, Accountant).

Multi-business and multi-branch dashboard management.

Expiry date alerts and low-stock notifications.